Wednesday, 14 March 2018

UCHAWI BAHARI YA HINDI-BONGO MOVIES ZA KICHAWI





 Filamu hii ya Kiswahili inahusua kisa cha vijana wawili wavuvi kutoka Mombasa Kenya.vijana hawa walikuwa wanaendesha shughuli zao katika bahari inayokaliwa na mizimu.Siku moja vijana hawa wakiwa wanatoka baharini kuvua samaki walikuta kuku amechinjwa, mmoja wa vijana hawa alimuokota na kumpeleka nyumba kwa ajili ya kumfanya kama kitoweo. Baada ya siku kadhaa vimbwanga, maajabu yalianza kutijokeza ndani ya kijiji cha wavuvi hawa. Fuatilia kisa hiki cha vijana hawa kutoka Mombasa hapa.



https://www.youtube.com/watch?v=KqfR8554nSs&t=25s

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...