Thursday, 15 March 2018

UCHAWI WA MAMA(UCHAWI WA KURITHI PART 1-BONGO MOVIES ZA KICHAWI





Baada ya mama yake kufariki, binti arishiwa mikoba ili aendeleze kazi ya mama yake ya uchawi katika kijiji chao.Binti huyu anamuambia dada yake kuhusu kurithi mikoba ya mama yao lakini dada mtu anakataa.Kitendo hiki kinamchukiza mdogo mtu na kuapa kuimaliza familia ya dada yake.Je,atafanikiwa tazama kisa hiki cha kusisimua hapa.     https://www.youtube.com/watch?v=b6VYiigMogQ&t=79s

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...