Tuesday, 27 March 2018

MAISHA YANGU| JE,ALAUMIWE | BONGO MOVIE MPYA |SWAHILI MOVIES





MAISHA YANGU| JE,ALAUMIWE | BONGO MOVIE MPYA |SWAHILI MOVIES


USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

MUUAJI DACK| JICHO LA UOVU|BONGO MOVIE MPYA| FILAMU ZA KIBONGO 2018|





Dack ni mwanamke katili ambae anaua watu kinyama yoyote yule atakaemshuhudia akifanya maovu, mdogo wake Givan na mchumba wake Shani wanakuwa hawaelewi nini kinachoendelea katika nyumba yao na nani anaefanya bila kujua ni mtu wao wa karibu wanae ishi nae mpaka siku ambayo Shani atamshuhudia akiua mtu, Je nini hatima yake uovu huu ulojificha fatilia zaidi.

BOFYA HAPA





USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.

UTAWALA WA KISHETANI |BONGO MOVIE MPYA| FILAMU ZA KIBONGO 2018|



Mfalme wa kijiji cha Tumbatu anapewa masharti na mtabiri wake kuwa ili utawala wake udumu miaka yote na apendwe na kila mtu anakiwa alale na wasichana wadogo walio bado na bikira. Kwa kufanya vile,mtawala huyu anaagiza vijana wake kwenda kila kona ya kijiji na kumkata msichana yeyote na kumleta kwa mtawala kwa ajili ya kulala nae. Yoranda,binti kigori amejaliwa anajikuta akiangukia kwenye mikono ya mtawala huyu shetani. Je,nani atamsaidia

 BOFYA HAPA






USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...