Mfalme
wa kijiji cha Tumbatu anapewa masharti na mtabiri wake kuwa ili utawala wake
udumu miaka yote na apendwe na kila mtu anakiwa alale na wasichana wadogo walio
bado na bikira. Kwa kufanya vile,mtawala huyu anaagiza vijana wake kwenda kila
kona ya kijiji na kumkata msichana yeyote na kumleta kwa mtawala kwa ajili ya
kulala nae. Yoranda,binti kigori amejaliwa anajikuta akiangukia kwenye mikono
ya mtawala huyu shetani. Je,nani atamsaidia
BOFYA HAPA
USISAHAU
KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.
No comments:
Post a Comment