Mayoka
kijana wa kisukuma ambaye anausaka utajiri kwa hali na mali.akiwa katika dimbwi
la mawazo,ghafra anatokewa na wasichana wawili ambao wanajitambulisha kwake na
kumwambia kile anachowaza. Ili awe tajiri haraka wanamuambia aoe msichana mmoja
kati yao.Mayoka hakujua wasichana wale wanatoka katikati mwa bahari HINDI
(MAJINI). Je, Mayoka atakubali kumuoa binti jini ili apate utajiri au akatae
apoteze kila kitu ikiwemo uhai wake pamoja na familia yake kwa ujumla.
USISAHAU
KU-SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU KWA MUVI KALI ZA KISWAHILI


