Friday, 23 March 2018

MAITI INAYOTEMBEA PART 1-BONGO MOVIES ZA KICHAWI| SWAHILI LATEST FULL MOVIES| NEW BONGO MOVIES 2018


Adam kijana anayetokea katika familia ya kimasikini anaelekea mjini kutafuta maisha lakini baada ya kufika mjini ugumu wa maisha unazidi kutanda kwake,ili kujinasua na umasikini huu Adam anaamua kwenda kwa mganga kutafta utajili kufika huko anapewa sharti la kumuua baba yake mzazi.Baada ya baba yake kufarikia Adam anafanikiwa kupata mali nyingi sana zikiambana na masharti kibao. Baada ya muda Adam anakosea masharti na kupotea ghafra huku maiti ya baba yake inabuka duniani na kuanza kusumbua watu. Fuatilia kisa hiki hapa cha kusisimua
BOFYA HAPA


https://www.youtube.com/watch?v=BjZxUEU55oA&t=697s

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU KWA MUVI KALI ZA KISWAHILI.

No comments:

Post a Comment

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...