Ni tamthiliya ya Kiswahili kutoka nchini Kenya
inayozungumzia visa mbalimbali vinavyohusu mahusiano yetu ya kila siku. Baba
yake Haruni anataka kumrithisha mtoto wake Kampuni yake kubwa iliyopo Kenya ila
kwa sharti la kuoa kwanza.Haruni anakubali kwasababu tayari anamchumba anayeitwa
Hariri ila kikwazo kinakuwa ni upande wa mama yake ambaye amemkataa binti.
Upande wa pili Big Joe ambaye hana uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke yeyote ile
duniani ila anapokea ujumbe kutoka kwa
mke wake kuwa ni mjamzito. Je,Joe atachukua hatua gani dhidi ya mke wake? Na
kwa vip Haruni ambaye ametakiwa kuoa ili akabidhiwe kampuni na baba yake ila
mama yake hamtaki mwanamke aliyemleta kumtambulisha mbele yao. Fuatilia
tamthiliya hii nzuri kutoka Kenya hapa hapa 24HRS SWAHILI STAR MOVIES NYUMBA YA
BURUDANI
ILI UWE WA KWANZA KUPATA MOVIE MPYA KILA SIKU FANYA
HIVI
SUBSCRIBE KWA KUBOFYA HAPA
https://goo.gl/23z6oN
KISHA ENDELEA
KUFURAHIA BURUDANI HII SAFI HAPA HAPA KILA SIKU.
SHARE NA NDUGU NA JAMAA PIA WAFURAHIE BURUDANI HII.
No comments:
Post a Comment