Tuesday, 27 March 2018

MUUAJI DACK| JICHO LA UOVU|BONGO MOVIE MPYA| FILAMU ZA KIBONGO 2018|





Dack ni mwanamke katili ambae anaua watu kinyama yoyote yule atakaemshuhudia akifanya maovu, mdogo wake Givan na mchumba wake Shani wanakuwa hawaelewi nini kinachoendelea katika nyumba yao na nani anaefanya bila kujua ni mtu wao wa karibu wanae ishi nae mpaka siku ambayo Shani atamshuhudia akiua mtu, Je nini hatima yake uovu huu ulojificha fatilia zaidi.

BOFYA HAPA





USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.

No comments:

Post a Comment

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...