Tuesday, 10 April 2018

MIPASHO YA USWAZI (CHAKUBIMBI-1)-RIYAMA ALLY|RIYAMA ALLY BONGO MOVIES

UBUYU TIME NA MOVIE KALI KUTOKA KWA DADA YETU RIYAMA ALLY AMBAYE AMEJIKUTA AKISUTWA NA MTAA MZIMA KUTOKANA NA MDOMO WAKE WA KUCHONGANISHA WATU.

Kula ubuyu wote kwa kubofya hapa-

https://www.youtube.com/watch?v=E335v6r9SPI&t=25s

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

Monday, 9 April 2018

SULUHU SWAHILI SERIES|BONGO MOVIES MPYA|SWAHILI MOVIES|MZEE MAJUTO|MUHOGO MCHUNGU

POPCORN TIME NA SERIES KALI KUTOKA KWA MZEE MSISIRI, MUHOGO MCHUNGU, MZEE MAJUTO NA WAKALI KIBAO.
NI SERIES KALI YENYE VISA NA MIKASA MBALIMBALI KUTOKA KWA WAZEE WETU. MSISIRI, MZEE MAJUTO, MUHOGO MCHUNGU
Fuatilia kisa kizima hapa

https://www.youtube.com/playlist?list=PLKucm8ZwXcwsgwmXbF2R70THXUkg_rA6U
USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

Thursday, 5 April 2018

NILIPANGA NYUMBA YA MAJINI-FILAMU MPYA ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

NILIPANGA NYUMBA YA MAJINI-FILAMU MPYA ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI
Fuatilia kisa kizima hapa

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

CHUNGU CHA BIBI-FILAMU MPYA ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

CHUNGU CHA BIBI-FILAMU MPYA ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

Fuatilia kisa kizima hapa

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

Wednesday, 28 March 2018

VYEO VYA KISHETANI (MWAKA WA 9) PART 1- MZEE MAJUTO|BONGO MOVIES ZA KICHAWI| FILAMU ZA KICHAWI| MOVIE ZA KUTISHA

Exaudy kijana anausaka utajiri na cheo kwa hali na mali,katika kufanikisha adhma yake, aamua kuelekea kwa mganga ambapo huko anapewa masharti kibao na ikitokea akavunja masharti basi roho yake iko mikononi mwa mashetani watakaompa mali na vyeo katika kazi yake ya usalama wa taifa. Fuatilai kisa hiki hapa.

BOFYA HAPA-

https://www.youtube.com/watch?v=tDUuOi8L0ls&t=25s

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

Tuesday, 27 March 2018

MAISHA YANGU| JE,ALAUMIWE | BONGO MOVIE MPYA |SWAHILI MOVIES

MAISHA YANGU| JE,ALAUMIWE | BONGO MOVIE MPYA |SWAHILI MOVIES

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU

MUUAJI DACK| JICHO LA UOVU|BONGO MOVIE MPYA| FILAMU ZA KIBONGO 2018|

Dack ni mwanamke katili ambae anaua watu kinyama yoyote yule atakaemshuhudia akifanya maovu, mdogo wake Givan na mchumba wake Shani wanakuwa hawaelewi nini kinachoendelea katika nyumba yao na nani anaefanya bila kujua ni mtu wao wa karibu wanae ishi nae mpaka siku ambayo Shani atamshuhudia akiua mtu, Je nini hatima yake uovu huu ulojificha fatilia zaidi.

BOFYA HAPA

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.

UTAWALA WA KISHETANI |BONGO MOVIE MPYA| FILAMU ZA KIBONGO 2018|

Mfalme wa kijiji cha Tumbatu anapewa masharti na mtabiri wake kuwa ili utawala wake udumu miaka yote na apendwe na kila mtu anakiwa alale na wasichana wadogo walio bado na bikira. Kwa kufanya vile,mtawala huyu anaagiza vijana wake kwenda kila kona ya kijiji na kumkata msichana yeyote na kumleta kwa mtawala kwa ajili ya kulala nae. Yoranda,binti kigori amejaliwa anajikuta akiangukia kwenye mikono ya mtawala huyu shetani. Je,nani atamsaidia

 BOFYA HAPA

USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU KWA MOVIE KALI ZA KISWAHILI KILA SIKU.

KAFARA YA DADA YANGU-FILAMU ZA KICHAWI|BONGO MOVIES ZA KICHAWI

FUATILIA KISA KIZIMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=c8H3XaZFvVM&t=1337s USISAHAU KU-SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL Y...